Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NEW STAND ALONE FOR RENT AT KIMARA BONYOKWA
NI NYUMBA NZURI KABISA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA
LOCATION KIMARA BONYOKWA, UMBALI KUTOKA KITUO CHA DALADALA NI DK.6 KUTEMBEA KWA MIGUU
KODI NI TZS 500K X6
SIFA ZAKE ๐
VYUMBA VITATU KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI PUBLIC TOILET STORE KUBWA
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING KUBWA FULL PERVING BLOCKS
NYUMBA INAJITEGEMEA KILA KITU NDANI YA FENCE YA PEKEE YAKE UKIWEMO UMEME NA MAJI
MAJI DAWASA YANATIRIRIKA NDANI MASAA YOTE PIA KUNA RESERVE TANK
CHANGAMKIA FURSA HII NDUGU MTEJA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA NI TZS.15000
UKIIPENDA NYUMBA NA KUFANYA MALIPO UTAMLIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA