Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA SANA INAUZWA
IPO MAENEO YA KIMARA BONYOKWA AU UNAWEZA KUPITIA TABATA
BEI MILIONI 75 MAONGEZI YAPO
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA VIWILI VYOTE MASTER
SEBULE KUBWA NA DINING
CHOO CHA FAMILIA
INA ENEO LENYE UKUBWA WA SQMT 750
IPO NDANI YA FENCE PARKING KUBWA
UMEME UPO MAJI YAPO
NA INA FAMILIA WANAISHI HUMO
UKILIPIA WANAHAMA
UMBALI KM 2.5
USAFILI WA UHAKIKA
KWENDA SAITY SERVICE CHARGE NI 30,000
KARIBUNI
SIMU
+255 684 88 14 29
MSHATI