Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam






NYUMBA IPO MBAGALA SAKU MZAMBALAUNI JIJI LA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE KATA YA CHAMAZI MTAA WA MKONDONGWA
INA UZWA TSH MIL 45 TU
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BDROOM
INA STTING ROOM NA DAININGI ROOM INA JIKO NA STORE INA PUBLIC TOILET INA MAJI NA UMEME
ENEO SQUARE MITER 400
INA DOCUMENTS ZOTE ALALI ZA OFFICE YA SILIKALI YA MTAA
KWA MAELEKEZO ZAIDI NIPIGIE CM AU NICHEKI WHATSAPP 0759 203175. 0652 618 143 📞