Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam







HII NYUMBA NZURI SANA INA ENEO LA KUJENGA FENS GARI NDOGO 2 ZINA WEZA KUINGIA NDANI
NYUMBA INA UZWA TSH MIL 23 TU
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BDROOM INA SITTING ROOM INA JIKO NA PUBLIC TOYLETY INA MAJI NA UMEME
NYUMBA IPO MBAGALA CHAMAZI KWA NZARA JIJI LA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE IPO JILANI KABISA NA KITUO CHA DALA DALA ZA KWA NZARA CHAMAZI
NUMBER ZANGU IZO 0759 203175. 0652618143