Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam







NYUMBA IPO MBAGALA CHAMAZI KWA NZARA JIJI LA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE INA UZWA TSH MIL 24 TU
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BDROOM INA SITTING ROOM INA JIKO NA PUBLIC TOYLETY INA MAJI NA UMEME UPO WA RUKU UKUBWA WA ENEO SQUARE 200
INA DOCUMENTS YA MAUZIANO YA OFFICE YA SILIKALI YA MTAA
NYUMBA IPO JILANI KABISA NA KITUO CHA DALA DALA
KWA MAELEKEZO ZAIDI NIPIGIE CM AU NICHEKI WHATSAPP 0759 203175
0652618143