Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI INAUZWA BINAFSI
BEI milioni 55 maongezi kidogo yapo
Ipo MBEZI KWA MSUGURI - Dar es salaam - Tanzania
Vyumba Vitatu vya Kulala kimoja self
Sitting room
Dinning room
Kitchen
Public toilet
Ukubwa wa kiwanja: sqmt 400
document Sales agreement (Hati ya mauziano ya selikali za mitaa)
Kiwanja kimepimwa Hati miliki itatoka kwa Jina la mteja atakae nunua
◇ Maji safi umeme vyote vipo kwenye nyumba
Gharama za Kupelekwa site elf 30
Tupigie
0746 433 854