Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:
KIMARA SUKA
UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 10 TU KWA MIGUU
SIFA ZAKE:
VYUMBA 3 VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE
DINING TABLE
JIKO ZURI
PUBLIC TOILET NDANI
IPO NDANI YA FENCE
PACKING SPACE KUBWA
UWANJANI PAVING BLOCK
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI 550,000 X 6
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA CM 06 748 60193