Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 500,000

NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA ZIPO NYUMBA MBILI TUU NA ZIPO MBALI MBALI NA HII KUBWA NDIO INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6

ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 05/04/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#CHUMBA CHA KUJISOMEA
#AIR- CONDITION
#GARDEN

BEI NI 500,000/= X 6

BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) AMBAYO ITAKWATA HELA YA MWEZI MMOJA NDANI YA MALIPO YA MIEZI 6 KWAHIYO ITAHESABIKA MIEZI 5

๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI, DALADALA AU BODABODA NA NYUMBA IPO MTAA MZURI SANA NDUGU MTEJA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

DALALI MAKINI UBUNGO RIVERSIDE
dalali_makini_ubungo_riverside
DALALI MAKINI UBUNGO RIVERSIDE

Similar items by location

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6 ๐ŸŒŸ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #VYU...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

:๐˜ผ๐™ฅ๐™–๐™ง๐™ฉ๐™ข๐™š๐™ฃ๐™ฉ ๐™‰๐™ฏ๐™ช๐™ง๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™†๐™ช๐™ฅ๐™–๐™ฃ๐™œ๐™–๐™‡๐™ค๐™˜๐™–๐™ฉ๐™ž๐™ค๐™ฃ: KIMARA KOROGWEUmbali wa Kutembea...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

APARTMENT INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI UKIWA UNATOKEA MJINI ...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

#KODI (500,000X6) MPYAA APARTMENT CLASSIC FOR RENT #Location kimara Mwisho umbali dk 4 kwa mguu...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 230,000

NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA 230X5, 6.LOCATION KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 230,000

NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA 230X5, 6.LOCATION KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

:๐˜ผ๐™ฅ๐™–๐™ง๐™ฉ๐™ข๐™š๐™ฃ๐™ฉ ๐™‰๐™ฏ๐™ช๐™ง๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™†๐™ช๐™ฅ๐™–๐™ฃ๐™œ๐™–#๐™‡๐™ค๐™˜๐™–๐™ฉ๐™ž๐™ค๐™ฃ: KIMARA BARUTI #๐˜ฟ๐™ž๐™จ๐™ฉ๐™–๐™ฃ๐™˜๐™š...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO ======================*CHUMBA, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET NDANI, MA...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 800,000

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟAPARTMENTS CLASSIC FOR RENT ZIPO 2 NDANI YA FENCE - SOMA MAELEZO VIZURI Location: KIMARA KOROGWE...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

Apartment Classic For Rent #350,000Zipo 4 Kwenye Fence Location: KIMARA MWISHOUmbali Wa KM 1 Kutoka ...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI 250,000/= X 6 ๐ŸŒŸ APARTMENT HII INA...

Sh. 150,000

APARTMENT ZINAPANGISHWA KIMARA MWISHO KILOMETA1.5KUTOKA BARABARA YA LAMI๐Ÿ“ŒUSAFIRI UPO MWINGI WA BAJA...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI 250,000/= X 6 ๐ŸŒŸ APARTMENT HII INA...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION KIMARA SUKA DK 12 SIFA YA NYUMBA NI Vyumba viwilli vya kulala chumba...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO ======================*CHUMBA, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET NDANI, MA...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

500,000 x6. 0679 956 863 WSP 0781 418 437 pg โ™ฅ๏ธ HIZI APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

HII NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE LOCATION: KIMARA MWISHOSIFA ZAKE KODI 400,000X6 #...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 387,747

(250,000X6)KIMARA TEMBONIโž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA B...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 800,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA ZIPO 2 TU NDANI YA FENCE SOMA MAELEZO VZR LOCATION KIMARA KORO...