Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam







Nyumba inauzwa ipo mbagala kwa ndumba nyumba ya vyumba 4vya Kulala masters bedroom stingiroom daingiroom kitchen stoo toilet Public nyumba umeme upo Maji yapo nyumba ina frem chumba 1 nyumba aipo mbali na Barbara kuu nyumba MPYA nyumba ukubwa wa kiwanja Sqm 600 nyumba bei ml 49