Frame inauzwa Kibamba, Dar Es Salaam







APARTIMENT 5 FREM MOJA NI NYUMBA ZINAUZWA MILIO 350
ZIPO KIBAMBA CHAMA
KILA MOJA ZINA VYUMBA2 VA KULALA
KIMOJA MASTER SEBULE JIKO PIA ZINA PUBLIC TOILET YA NDANI NI NZURI SANA
ZINA FAA KWA BIASHALA ZOTE ZINAWAPANGAJI
BEI YA KUPANGISHA 250X5 .6
SERVICE CHARGE ELFU 50000
0746 433 854