Frame inauzwa Mlandizi, Pwani


NYUMBA NZURI SANA INAUZWA
MAHAL MLANDIZI CENTER
NYUMBA NZURI SANA INAUZWA MLANDIZI CENTER
NYUMBA INA FREM TATU ZA BIASHARA NA ZOTE ZINA WAPANGAJI NYUMBA KUBWA NDANI INA VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER SEBULE JIKO NA PUBLIC TOILET
UKUBWA WA ENEO SQMT 350 MAKADIRIO INAWEZA KUZIDI AU KUPUNGUA KIDOGO
MAUZIANO SERIKALI YA MTAA RUKSA KUJA NA MWANASHERIA WAKO AU CHINI YA MAHAKAMA
BEI MILLION 29
SERVICE CHARGE ELFU 30
☎️ #0757208653