Nyumba inapangishwa Bonyokwa, Dar Es Salaam
APARTMENT 4 NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA BONYOKWA MWISHO
SIFA ZAKE
##########
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Paving block
Parking space kubwa sana
.
Service charge 15,000
.
.
Kodi 400,000 kwa mwezi Malipo ni miezi 4
.
.
0713661530_0783661530_0612661531_0745593030