Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE USAFIRI BAJAJI
INA CHUMBA SEBULE JIKO NA CHOO
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YANA FLOW NDANI
NYUMBA NI MPYA KABISA INA FULL AIR CONDITION PAKING YA KUTOSHA
400K ×6. KWA MWEZI DALALI MWEZI 1 SERVICE CHARGE 20 KUONA NYUMBA
KUONA NYUMBA ELFU 20000 ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
UKIPENDA NYUMBA UTALIPA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
ITAKUWA TAYARI TAREHE 1/2/2025
KWA MAWASILIANO PIGA SIMU NAMBA