Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HII HAPA NAWALETEA KWA WALE WENYE MAITAJI YA OFISI KARIBU NA BARABARA YA MOROGORO ROAD INAPANGISHWA
LOCATION KIMARA STOP OVER
UMBALI DAKIKA 1
KWA MIGUU
NDUGU MTEJA HILI JENGO LIFAA KWA OFIS NA HOSPITAL NA NK
KODI MILIONI 2.000.000X6
MAONGEZI YAPO KIDOGO
INAJITEGEMEA KILA KITU UMEME MAJI FULL
IPO NDAN YA FENSI KARIBU NDUGU MTEJA
KUPELEKWA KWENDA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000
NA BILA KUSAHAU MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
*NOTE. NDUGU MTEJA NYUMBA HII INAFANYIWA MAREKEBISHO MAFUNDI WAPO KAZINII๐๐พ๐๐พ* ๐๐พ๐๐พ