Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


MASTER BEDROOM YA KUPANGA KIMARA MWISHO
=======================
*CHUMBA MASTER BED ROOM, YANI CHUMBA NA CHOO CHAKE NDANI, MAJI DAWASA YAPO
*NYUMBA IKO NDANI YA FENSI, PARKNG SPACE KUBWA SANA, LUKU YA KUSHEA WA 2, NA KILA MMOJA ANA SUB METER YAKE
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM2.5, BAJAJI, DALADALA 500/=
*KODI 80,000/= KWA MWEZI
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347