Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NI APARTMENT NZUR SANA INAPANGISHWA 
IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE 
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA 
SIFA ZAKE 
########
NI CHUMBA SEBULE CHOO JIKO 
IPO NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK SAFI 
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI 
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YANAFLOW NDAN 
UMBALI KM 1,7 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500 UKISHUKA DK 4 UPO NYUMBAN 
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA 
CONTACT
0652 508128 
0753 989554 
=====




















