Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(300,000 × 6) KIMARA TEMBONI
APARTIMENT INAPANGISHWA IPO TEMBONI
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWA LA MAKABATI  NA PUBLICK TOILET
ZIPO NYUMBA TANO NDANI YAFENSI KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
NYUMBA ZILIZOKUWA WAZI  NI MBILI ZA JUU
KODI KWAMWEZI  300,000 × 6
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300




















