Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


HOUSE 🏠 FOR RENT STAND ALONE INAJITEGEMEA YENYEWE NDANI YA FENCE KODI 300000×6
LOCTION KIMARA KOROGWE KILUNGULE KM 1.5 USAFIRI BAJAJI 500 KUTOKA KIMARA KOROGWE MWENDO KASI AU UBUNGO RIVER SAID
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#VYIUMBA 2 KIMOJA MASTER
#SITING ROOM KUBWA
#DAINING TABLE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#MADIRISHA YANAWEKWA SLAIDING WINDOW YAPO TAYARI
#FENCE IMEANZA KUJENGWA NA PEVING BLOCK ZINAWEKWA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347