Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


400,000x6
《》KIMARA SUKA
APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA SUKA
Vyumba 3 vya kulala
Kimoja master
sebule kubwa
jiko ni makabati
Vyumba bahazi vina makabati ya nguo
na public toilet ya ndani
Kodi 400,000 Kwa mwezi × 6
Umbali KM 2 Usafiri bajaji, 800 upande wa kushoto kama unaenda mbezi
Kila apartment inajitegemea umeme na maji
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
Utawala Zingatia umbali ndugu mteja
0679 956 863
0759151524
0696708032