Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA SUKA DK13 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BODA BUKU INA KUWA WAZI TAR 30 .4.2024 KUONA NA KULIPIYA LUKSA 
__
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom 
Seble kubwa 
Jiko kubwa la kisasa 
Public toilet 
Slide window 
Luku yako
Tiles 
Gypsum 
Maji yana flow
Mazingila mazuri  na tulivu
Paving block 
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana 
__
Service charge 15,000/=
Kodi 350,000/=ร6
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3.5 
__
Contact 
#0714335450
#0714335450
________________
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT ๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐




















