Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


Apartment Nzuri Classic Inapangishwa๐ฅ 300,000/= KWA MWEZI)
Location:KIMARA KOROGWE
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDOKASI NI KM 1.5
USAFIRI UPO WA UHAKIKA
BODA ELFU 1,000/=
BAJAJ DALADALA SH 5OO/= NA UKISHUKA TU UNATEMBEA DK.5
โค๏ธMUUNDO
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI
PUBLIC TOILET NZURI YA NDANI
TILES, GYPSUM BOARD, MADIRISHA ALUMINIUM
โ๏ธ NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA
โ๏ธ UMEME LUKU YAKO PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA
SERVICE CHARGE 15,000 MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
DALALI PETER UBUNGO
0688 067 289
0714 418 005 Whatsapp