Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro
Room 2 zakulala sebule jiko inapangishwa
🕹️ MAHALI: MAKULU
Muundo wa nyumba
-Room 2 zakulala
-Chumba kimoja ni master
-Sebule kubwa
-Jiko zuri
UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
MALIPO NI 300,000/= MIEZI 5
☎️MAWASILIANO
0678904405