Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


dalali_dulla_dodoma APARTMENT NZURI SANAAA
INAPANGISHWA
-ZINAEKWA PAVINGS
-PATAKUWA PAZURI SANAA
📍MAHALI- KISASA MWANGAZA
MUUND0
Vyumba V2 vya kulalaa (01 MASTER)
Sebule kubwa
Store
Jiko zuri
Public toilet
HUDUMA
Maji yapo muda wote
Umeme upo unajitegemea
Parking space kubwa
Ziko ndani ya fence
Usalama wa kutosha
💰MALIPO
-Bei ni 350,000 @ mwezi
-Muda wa malipo miez 4+
🎯NB; MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA..ATALIPIA MTEJA
☎️MAWASILIANO-0678904405 call/ wtsp
Gharama za kwenda site ni 10,000#