Nyumba inauzwa Gongo La Mboto, Dar Es Salaam







Nyumba inauzwa Gongo la mboto (kwa kaisi stend) wilaya ya ilala Dar
📌BEI MILION 29 inapungua (usiogope)📌
Vyumba v3 kimoja masta
Siting jiko stoo
Tailz jipsam umeme maji
Eneo ni sqm 370 (makadilio)
Nyaraka ya serikali ya mtaa
Whatsap au piga 0673 601 114



















