Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MPYAA MPYAA MPYAA MPYA
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 210,000/= X 6 
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO 
#CHUMBA MASTER KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET 
โก๏ธ#LUKU MITA YA INAJITEGEMEA
๐ค#MAJI DAWASA NI BURE ULIPII CHOCHOTE
๐ค#USAFI WA NJEE AUFANYI
๐ค#FREE WIFI 
NB;NYUMBA IPO NDANI YA FENCE ISIYO LAZA GARI 
๐ฐBEI NI 210,000/= X 6 
๐ฃNYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE 
 .. KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1  TUU KWA MIGUU DK 15
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA 
Nb:NYUMBA ITAKUWA TEYARI TAREHE  15/02/2025 
KULIPIA RUKSA
0715949085
0782838336




















