Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NIMESHUSHA MIEZI KITONGA MNO!!!!!
APARTMENT KALI MNO INAPANGISHWA KIMARA SUCA YENYE SIFA HIZI####
VYUMBA V2 KULALA K1 MASTER,SEBLE KUBWA MNO,JIKO LA KISASA LENYE MAKABATI NA CHOO PUBLIC NDANI YA FENSI###
UMEME NA MAJI LUKU YAKO**** KUNA RESERVE WATER TANK YA LTR 5000 KWA WOTE NA LTR 1000 YAKO MWENYEWE###
ZIKO NNE KWA COMPOUND** FULL AC,FUL PERVING,FULL SECURITY ,FULL WF NK###.
UMBALI WA KM 2.5 TOKA MORO ROAD**** KODI LAKI 4 X 3 .Namaliza huduma ya Kuona Nyumba 20 Service Charge