Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
#BEI NI 200,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#JIKO KUBWA
#INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE
BEI NI 200,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO #KIMARA_SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343