Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
.
IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA DK 7 TU KWA MIGUU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS
.
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
INATAKIWA MDADA
.
SIFA
====
CHUMBA MASTER KUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI NA PUBLIC TOILET NZUR YA NJE
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
CONTACT
0742260844
0657384670