Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO 4 KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
#MASTER BED ROOM KUBWA SANA INA SEHEMU YA KUPIKIA
#CHUMBA CHENYE CHOO NDANI KIKUBWA SANA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 10-12 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 200,000/= KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.