Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA MASTER
#CHOO CHA WAGENI NJE
#LUKU SUBMITER
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI ILA SIO YA KULAZA GARI
#LOCATION KIMARA BARUTI DK 10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 150,000/= KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.