Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma


KIWANJA CHA PILI LAMI KINAUZWA IYUMBU WEST JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 500 sq.m
Kina HATI
Cha pili LAMI
Maji/Umeme upo
Eneo limejengeka
Kina FENSI upande mmoja
Bei ni Tshs. 35,000,000/= ( milioni thelasinj na tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"