Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma


KIWANJA KIPO MITA 500 KUTOKA LAMI KINAUZWA IYUMBU NORTH JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 3,000 sq.m
Kina HATI
Kipo mita 500 kutoka LAMI
Eneo limejengeka
Bei ni Tshs. 55,000,000/= ( milioni hamsini na tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"