Kiwanja kinauzwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


Kiwanja Kinauzwa Kinyerezi Mongolandege.
- Kipo ndani ya fence.
- Ni tambarare.
- Mtaa mzuri.
- Njia inafikika na gari ya aina zote.
- Ni karibu na barabara kuu ya lami.
UKUBWA: SQM 400
BEI: Mil 15
Muhitaji piga 0688412890.