Kiwanja kinauzwa Mlandizi, Pwani


*MLANDIZI INDUSTRIAL PROJECT*
NI MRADI MAHUSUSI KWA AJILI YA MATUMIZI ELEKEZI YA VIWANDA PAMOJA NA VITUO VYA MAFUTA.
💫 MRADI UPO 3KM KUTOKA BARABARA YA MAMA SAMIA (MAMA SAMIA INDUSTRIAL AREA)
🚄MRADI UPO 3KM KUTOKA STAND YA SGR YA SOGA NA MITA 300 KUTOKA BARABARA YA RELI.
⚡MRADI UMEPAKANA NA NYENZO YA UMEME MKUBWA AMBAO NI SAHIHI KWA MATUMIZI YA VIWANDA.
💧LAKINI PIA UPO KARIBU NA BOMBA KUBWA LA MAJI.
💰MALIPO KWA 1SQM NI 25,000/= (MALIPO HAYA NI KWA CASH TU).
☎️0743930000 -DAR-ES-SALAAM
☎️07601933333-DODOMA