Kiwanja kinauzwa Mnadani, Dodoma


KIWANJA KINAUZWA SHELL MBILI MNADANI JIRANI NA KWA MABEYO JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 800 sq.m
Kipo kilometer 3 toka LAMI/Singida Road
Kipo kilometer 9 kutoka mjini
MIundombinu ipo
Huduma za kijamii zipo
Kipo sehemu nzuri
Bei ni Tshs 3,800,000/= (milioni tatu na laki nane tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"