Kiwanja kinauzwa Mnadani, Dodoma


KIWANJA KINAUZWA SHELL MBILI MNADANI BLOCK AK JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 1,167 sq.m
Kipo mita moja na nusu toka Lami
Kipo kilometer 9 toka mjini
KInafaa kwa MAKAZI au UWEKEZAJI
Kipo sehemu nzuri
Bei ni Tshs. 5,800,000/= ( milioni tano na laki nane tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"