Kiwanja kinauzwa Mnadani, Dodoma


KIWANJA KINAUZWA SHELL MBILI MNADANI BLOCK AE JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 531 sq.m
Kina HATI
Kipo kilometer moja toka LAMI
kipo kilometer 9 kutoka Mjini
Maji/Umeme. Upo
Eneo limejengeka
Bei ni Tshs. 6,800,000/= ( milioni sita na laki nane tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"