Kiwanja kinauzwa Ntyuka, Dodoma


Corner plot kwenye makazi Ntyuka km chache toka mjini. Wahi chap, Epuka *sold out*❌. Ukubwa ni sqm 620. Umeme na maji vipo. Kiwanja tambarare yaani ni mkeka💪. Bei mil 8.5 pamoja na Gharama za HATI. Tuwasiliane 0713 951382