Kiwanja kinauzwa Ntyuka, Dodoma
Chidachi Ntyuka-Dodoma Mjini
Sifa za kiwanja :
▶Kiwanja kina hati
▶km 5 kutoka Dodoma mjini
▶Karibu na kinapojengwa chuo cha Mwl Nyerere
▶Karibu sana na stesheni ya SGR
▶Maji, umeme, barabara vimefika
▶Majirani wapo na tayari wanaendelea na ujenzi
▶Bei kuanzia mil 9 (malipo kwa miezi mitatu)
▶Kwenda site ni bure na kila siku
Mawasilino : 0768 333 054