Mashamba yanauzwa Mlandizi, Pwani



SHAMBA EKARI (4)/VIWANJA (10) TSHS.30 MILIONI, MATUGA, MLANDIZI-PWANI.
Umbali wa kilomita 9 kutoka MLANDIZI MJINI/Barabara ya Morogoro, eneo ni MATUGA/MSONGOLA.
Eneo LIMEPIMWA VIWANJA VYA MAKAZI.
Panafaa pia kufanya Shughuli za KILIMO na UFUGAJI.
Lipo eneo lako la wazi linalopakana na Bonde ambapo unaweza kuchimba na kupata Maji kiurahisi au kutengeneza Mabwawa nk.
Hii ni uwekezaji mzuri.
Viwanja haviozi na baada ya muda mfupi utauza kwa faida.
WAHI KABLA HUJAWAHIWA.
Gari inafìka.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
+255714591548
____________ftm
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.