Nyumba inapangishwa Kiborloni, Kilimanjaro
Kiborloni, Moshi CBD, Kilimanjaro
7 months ago
Sh. 250,000
BEI IMESHUKA📌📌📌
NYUMBA MPYA INAPANGISHWA
LOCATION KIBORLONI(UFUNDI)
KODI 250000*3 PLUS MWEZI MMOJA WA DALALI
INA SEBULE JIKO LENYE MAKABATI VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER PUBLIC TOILET UMEME WAKO MWENYEWE MAJI MNASHARE ZIPO NYUMBA MBILI TU NDANI IPO NDANI YA GETI NA IMEZUNGUSHIWA UKUTA CARPARKING YA FUSO KUMI🤣
📌📌INAMALIZIWA VITU VICHACHE
0693163438📞📞