Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kiborloni, Kilimanjaro


NYUMBA MPYA INAPANGISHWA
LOCATION KIBORLONI(KILI EAST) IPO LAMI
KODI 300000*6 PLUS MWEZI MMOJA WA DALALI
📌SEBULE
📌JIKO OPEN KITCHEN
📌VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER
📌PUBLIC TOILET
📌HEATER YA MAJI MOTO
📌UMEME WAKO MWENYEWW MAJI MASHARE WAWILI TU
📌CAR PARKING
📌IPO NDANI YA GETI NA INA UKUTA
luluz_kitchen_moshi