Nyumba inapangishwa Bonyokwa, Dar Es Salaam


HIO APO CHUMBA SEBLE CHOO NA JIKO , NYUMBA KALI SANA UMEME NA MAJI VINAJITEGEMEA NDANI YA FENSI ZIKO 3 KODI LAKI MOJA NA ELFU THEMANIN. 180000 KWA MWEZI IPO KWA MKUA BARABARA YA KWENDA BONYOKWA UKISHUKA KWA MKUA KUNA NJIA YA YA MKATO KWA MIGUU . ILA UKIWA NA GAR UNAZUNGUKA KAMA UNAENDA BONYOKWA .
#0785889413