Nyumba inapangishwa Bonyokwa, Dar Es Salaam
:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐ #Mpyaa
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: BONYOKWA
#๐๐๐๐_๐๐๐ ๐
- Sebule Kubwa
- Vyumba VIWILI vya Kulala na Kimoja Wapo Master
- Jiko Kubwa la Kisasa
- Public Toilet
- Reserve Tank (Dawasa)
- Heater
Apartment Zipo 4 Kwenye Fensi Parking Ipo na Kila Apartment IInajitegemea Umeme LUKU na Maji Dawasa Yanaflow Ndani
#๐๐ค๐๐_๐ ๐ฌ๐_๐๐ฌ๐๐ฏ๐ TSh. 400,000/- Malipo Miezi 4 na Kuendelea
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni TSh. 10,000/- na Ukilipia Nyumba Malipo ya Dalali NI Mwezi Mmoja
#๐ฟ๐๐ก๐๐ก๐_๐๐๐ช๐ฃ๐๐ค
0716 776247 WhatsApp & Call
0754 221168 WhatsApp & Call