Nyumba inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam


NYUMBA HII INAPANGISHWA ZIPO MBILI KWENYE FENCE - KIBAMBA KWA MANGI 250,000x6
====
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko kubwa lenye makabati na public toilet
===
Bei: 250,000 Kwa mwezi x6 ( miezi haipungui)
===
Umbali dakika 15 Kwa mguu ( KM 1 bodaboda 1000)
===
Inajitegemea Kwa kila kitu ndani ya fence parking IPO
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 👈
Ulipiapo nyumba dalali mwezi 1 👈
What saapp number ⬅️ 0689-547258