Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐๐ก๐๐ฃ๐๐ก๐๐๐ฆ๐๐ช๐ (๐ฎ๐ฑ๐ฌ๐ธ ๐ง๐๐ต๐): Ni apartment ya chumba kimoja cha kulala 'MASTER BEDROOM', FULL AC, Sebule na Jiko zuri lenye makabati...Ipo ndani ya fensi, parking space kubwa na inajitegemea umeme na maji.
๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ฃ๐ข: KIMARA MWISHO Upande wa kulia kama Unatoka Ubungo...Umbali ni km 1.5 kutoka Morogoro road.
๐๐๐ ๐ฌ๐๐๐: Laki mbili na elfu hamsini tu (250,000/- Tshs) ร miezi 4 + Mwezi mmoja malipo ya Dalali.
๐ฆ๐๐ฟ๐๐ฒ๐ ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ฟ๐ด๐ฒ kupelekwa kuon nyumba ni Tshs 15,000/- tu...Italipwa mara moja na itatumika hiyo hiyo ikiwa mteja utataka kuona nyumba zingine.
๐ฃ๐๐๐ ๐ฆ๐๐ ๐จ: 0758 892945 (Inapatikana WhatsApp)