Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA#CHUMBA MASTER 150,000/= YA KISASA KABISA
MALIPO MIEZI 03
--------------------------------
📌Mahali:KIMARA SUKA (Dsm) 🇹🇿
Umbali:2.5 KM Bajaji 700
__________________
✔️Chumba KiKubwa Master
✔️Tiles & Gypsum
✔️ Taa za Kisasa + Feni Ya juu
✔️JIKO Kubwa
HUDUMA÷
✔️Maji (yapo Dawasa)
✔️Umeme _LUKU YAKO
📌Mazingira ni Mazuri sana
Ndani Ya Fensi Parking Kubwa
KUONA NA KULIPIA LUKSA KABISA
➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI
150,000/=TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 03 + Mwezi 1 wa dalali
_________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000
__________________________
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI