Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 12 KUTOKA STEND KIMARA MWISHO USAFIRI UPO BAJAJ NA PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA ELF 15
UKILIPIA NYUMBA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZI MMOJA PINDI UTAKAPO KUWA UMELIPIA NYUMBA
________________________________________
SIFA YA NYUMBA
hii nyumba ni chumba sebule master bedroom na jiko
Nyumba hii mpya bado
Ni nzuri sana
Inajitegemea umeme NA maji
Yana toka jikoni na chooni
Kwa wale ambao hawataki mbari
Njoni haraka sana
_______________________________________
KODI KWA MWEZI MMOJA NA MALIPO KWA MWEZI MMOJA
Kodi kwa mwezi ni laki mbilli naishilini tuu
(220,000)
X 6
Jamani wateja wangu bossi hachukuwi chini ya mieezi sita 6
Piga simu usitume message uta chelewa kujibiwa
CALL 0779646072
0784810004
0713545127 WhatsApp
Masele kimara raisi wa madalali kimara