Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENTS NZURII SANAA ZIKO NDANI YA FENSI MOJA WAPO IPO WAZII
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI YANAFLOW NDANI
SIFA ZAKE
>CHUMBA KIKUBWA MASTER
>SEBULEE
>JIKO( KUBWA SANA
>PUBLIC TOILET NJEE
>TAILS,GYPSUM,SLIDE WINDOWS
>PARKING SPACE KUBWA IMEBAKI MOJA
🛣LOCATION: KIMARA SUKA GOLANI
UMBALI KM 2,5...USAFIRI BAJAJI 1000 ,UKISHUKA UNATEMBEA DK 4
💰BEI:LAKI 180,000 Miezi X5👈
SERVICE CHARGE ELFU 15
MTEJA UKIPENDA NYUMBA UNAMLIPA DALALI ELA YA MWEZI MMOJA
⬇️
Simu/06 59 33 67 51
⬇️
Wsp/07 86 08 56 37