Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISA INAPANGISWA KODI 400,000X6 
LOCATION KIMARA BARUTI DK 5-6 KUTEMBEA 
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA 
SIFA ZAKE 
___________
#VYIUMBA 2 KIMOJA MASTER KUBWA 
#SEBULE KUBWA YA KUTOSHA 
#PABLICK TOILET NDANI 
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI 
#UMEME LUKU YAKO 
#FENCE INAJENGWA ISIYOLAZA GARI ILA SEHEMU YA PAKING IPO NI BUREE ULIPII
NB: NYUMBA ITAKUWA TAYARI KUINGIA TAREHE 31/8/2025 KULIPIA RUKXA
MA




















